Staa wa bongo fleva na mmiliki wa mdundo wa ‘Aiyola‘ Harmonize, leo anakualika tena kuutazama huu mpya alioshirikiana na Diamond Platnumz, Mdundo unaitwa ‘Bado’
Kuutazama Bonyeza hapa chini mtu wangu….
Unaweza kuitazama hii ni Show ya kwanza aliyoifanya Harmonize tangu atoke na Hit song ya ‘Aiyola’ ilikuwa Tanga
Hii pia ilikuwa Dodoma mtu wangu, Video yake iko hapa chini pia.
0 comments:
Post a Comment