Home
/ NI Mzungu Kichaa.....HANA HAYA KWA Wema na Idriss...FUATILIA
Friday, February 26, 2016
NI Mzungu Kichaa.....HANA HAYA KWA Wema na Idriss...FUATILIA
Staa wa muziki Mzungu Kichaa, amevunja ukimya kuligusia suala ambalo pengine linawaumiza wasanii wengi, ikionekana kuwa ni ‘diss’ pia kwa staa Wema Sepetu na mwenzake Idriss Sultan, kupitia suala lao la ujauzito kunasa na kutoka.
Akiongea kwa hisia nzito, Mzungu Kichaa ambaye ana project kubwa ya video ambayo watu hawaifahamu kama wanavyofahamu mimba ya Wema, msanii huyo anayejinadi kuwa ni mbishi, ameelezea kusikitishwa kwake kwa mastaa hao ambao wanatumia muda wao mwingi kuleta atensheni kwa mashabiki badala kufanya shughuli zao binafsi za kila siku.
Mzungu Kichaa pia amekanusha suala la video yake kukosa kiki kutokana na kumhusisha Dir Adam Juma ndani yake, na kuifanyia hapa hapa nchini akisema kuwa Dir Adam ana kila sababu ya kupewa hashima yake kutokana na ubora wa kazi zake na si maelezo mengine yaliyopotofu.
EATV.TV
Surya
Out too the been like hard off. Improve enquire welcome own beloved matters her. As insipidity so mr unsatiable increasing attachment motionless cultivated. Addition mr husbands unpacked occasion he.
0 comments:
Post a Comment