Hit single ya wakali , AKA na Diamond Platinumz ‘Make me sing‘ inazidi kuchukua headline kwenye Tv station na Radio barani Afrika, leo ikiwa ni Feb 25 imetengeneza views milioni 1 kupitia mtandao wa youtube ndani ya siku 10.
Mdundo huu aliofanya na Diamond Platinumz ‘Make me sing‘ unamfanya AKA kuwa msanii wa kwanza Afrika kusini kufikia rekodi hii kwa kipindi kifupi. hizi ndio baadhi ya kolabo alizowahi kufanya AKA zenye watazamaji wengi kupitia mtandao wa youtube
AKA – All Eyes on Me ft Burna Boy, Da L.E.S. and JR: 1,391,325 views
AKA ft K.O – Run Jozi (Godly): 1,065,372 views
Emtee – Roll Up (ReUp) Ft WIZKID & AKA (Official Remix): 915,428 views
AKA – Baddest ft. Burna Boy, Khuli Chana, Yanga: 820,522 views
Anatii – The Saga (Explicit Version) ft. AKA: 430,155 views
0 comments:
Post a Comment