Staa wa hit single kama ‘kigeugeu‘ na nyinginezo, Jaguar kutoka Kenya kaibukiaJohannesburg South Africa time hii na kuwapa kolabo wakali wengine wa Afrika ‘Mafikizolo‘ na video yao ndio hii hapa chini, ukishamaliza kuitazama sio mbaya ukituachia na comment yako Jaguar atapita kujua Wabongo wameipokeaje.
EXCLUSIVE: Diamond hatosahau msg alizozikuta kwenye simu ya mpenzi wake, hii ndio sababu hatoshika simu ya mpenzi wake tena… tazama hii video hapa chini
0 comments:
Post a Comment