+10 344 123 64 77

Wednesday, June 15, 2016

VIDEO ZINZO PIGWA SANA AIRTIME TRACE MTV-BASE...tazama hapa



J
vya TV Afrika, na ndio maana inawapa hamasa wasanii wa nyumbani kufanya video yenye viwango vya kimataifa.
Naanza kukusogezea list ya video ambazo zimechezwa kwenye vituo vikubwa vya TV Afrika, Trace TV na Mtv Base.
1. Ngoma hii ya Ali kiba -Lupela imechezwa leo Mtv Base, Video hii imewekwa youtube Feb 7, 2016 na imepata viewers 1,783,066 mpaka sasa.
20160614_140737
2. Mdundo huu wa Vanessa Mdee -Niroge imechezwa Trace Tv na Mtv Base inaendelea kufanya vizuri katika vituo hivi vya kimataifa imewekwa youtube  Mar 24, 2016 na mpaka sasa umeangaliwa na watu 170,064,077 mpaka sasa.
20160614_133655
20160614_192505
3. Ngoma ya Nedy Music ft Ommy Dimpoz imechezwa Trace Tv na imewekwa youtube  May 8, 2016 na mpaka sasa ina viewers 1,189,268.
20160614_205327
5. Navy Kenzo ft Vanessa Mdee -Game imechezwa Mtv Base na imewekwa youtube Jul 24, 2015 na kuangaliwa na watu 1,025,670 mpaka sasa.
20160614_135953
6. Ngoma ya Ali Kiba-Aje imechezwa Mtv Base na youtube imewekwa  May 19, 2016 na mpaka sasa ina viewers 1,591,267.
20160614_140038
7. Mayunga ft Akon – Please don’t go away imechezwa Trace Tv na imewekwa youtube May 20, 2016 na mpaka sasa ina viewers 350,561.
20160614_234432
8. Ay ft Diamond Platnumz – Zigo Remix imechezwa Trace Tv, video hii imewekwa youtube  Jan 22, 2016 na ina viewers 6,436,710 mpaka sasa.
20160614_143638

0 comments:

Post a Comment